2 Chronicles 36:2-4

2Yehoahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitatu alipoanza kutawala, akatawala huko Yerusalemu kwa miezi mitatu. 3Mfalme wa Misri akamwondoa madarakani huko Yerusalemu na akatoza Yuda kodi ya talanta 100
Talanta 100 za fedha ni sawa na tani 3.75.
za fedha na talanta moja
Talanta moja ya dhahabu ni sawa na kilo 34.
ya dhahabu.
4 cMfalme wa Misri akamweka Eliakimu, nduguye Yehoahazi, kuwa mfalme juu ya Yuda na Yerusalemu na kubadili jina la Eliakimu kuwa Yehoyakimu. Lakini Neko akamchukua Yehoahazi, Nduguye Eliakimu akampeleka Misri.

Yehoyakimu Mfalme Wa Yuda

(2 Wafalme 23:35–24:7)

Copyright information for SwhKC